Kwa mara ya kwanza jiji la Mwanza limetia fora na limeweka historia ya
kupata mshiriki mmoja aliyeingia kwenye shindano la Epiq Bongo Star Search akiwa
na ulemavu wa sauti (bubu-yaani asiyeweza kuongea kawaida) hali iliyopelekea
majaji wa mchuano huo kuvutiwa na mikogo yake iliyopelekea ushawishi uliowafanya
waingie kingi kiasi cha kumpa nafasi ya kuingia hatua ya pili ya mchakato huo..
Hebu mshuhudie kupitia kideo na makamuzi ya hip hop pindi tu alipotoka kwenye
usaili na kutajwa kwamba amesonga mbele.
Posted in g sengo
No comments:
Post a Comment