Showing posts with label CELEBRITY GOSSIPS. Show all posts
Showing posts with label CELEBRITY GOSSIPS. Show all posts

Friday, September 14, 2012

PHD SASA 'AMTAKA' JACK WA CHUZI

BAADA ya msanii wa filamu Jackline Pantezel ‘Jack wa Chuzi’, kuwatetea wanawake juu ya kuchukuliwa kama samaki na msanii Hemed Suleiman ‘P.H.D’ sasa staa huyo naye ameamua kufunguka na kudai kuwa hakupanga kutembea na mwanadada huyo lakini sasa ajiendae kutoka naye kwani amejipendekeza kwa kuzungumzia kauli yake.

Awali kabisa Hemed alidai kuwa endapo akiamua kuoa basi atafanya mchakato kama wa BSS wa kufanya mchujo na kupata yule mwanamke bora zaidi na mrembo kitu ambacho kilimfanya ‘Jack wa Chuzi’ kuinuka na kumtaka Hemed awaombe radhi wanawake kwani asiwachukulie kama samaki wanaopatika kilahisi tena kwa wingi.
Kauli hiyo ya Jack inaonekana kumtokea puani kwani mambo yanazidi kuwa magumu ambapo PHD anadai kuwa atafanya juu chini ili tu amuonesha Jack kuwa yale anayoyazunumza anauwezo wa kufanya na hata yenye anaweza kuwa mmoja kati ya wanawake watakaohitaji kuolewa naye ingawa hana vingezo anavyovihitaji.
“Sikupenda kauli ya Jack kwani namchukulia kama msanii mwenzangu ambaye nafanya naye kazi lakini kitendo chake cha kupinga kauli yangu kumenifanya niwe na hamu ya kutoka naye ili tu ajue kwamba nina uwezo wa kutoka na mwanamke yeyote tena pale ninapomuhitaji tu,” alidai Hemedi.
Hata hivyo mwandishi wa ishu hii baada ya kumtafuta muhusika wa pili wa kideo hiki Jack, alidai kuwa Hemedi hawezi kufanya kitu chochote kwake na anamchukulia kama mtoto anayekuwa na kuanza kujua wanawake hivyo haoni kama anaweza kuleta madhara.
“Hemed ni mtoto hivyo namchukulia kama ndo kwanza anawajua wanawake sasa, kwa sababu mtu mzima awezi kuanza kujisifu kuwa anaweza kutembea na kila mwanamke, kwani tayari ameshapitia huko asa kwa huyo ndo kwanza anawajua wanawamke siyo makosa yake anahaki ya kusema hivyo,” alisema Pentzel

JUMA NATURE ADAIWA KUMTELEKEZA MWANAE


                                                                 JUMA NATURE
Mtoto wa Juma Nature
Hitmaker wa ‘Hili Game’ Juma Kassim Nature huenda akajikuta matatani hivi karibuni na ustawi wa jamii baada ya kumkataa mtoto anayedai msanii huyo ni baba yake mzazi.

Mtoto huyo mwenye miaka 17 aitwaye Samson Juma Kassim Kiroboto ameamua kusafiri kutoka mkoani Morogoro hadi Dar es Salaam ili kumfuata baba yake.

Samson aliyelazimika kwenye Clouds FM kutafuta msaada wa jinsi ya kumpata baba yake huyo, amesema mama yake alishafariki hivyo anamhitaji baba yake ili maisha yaendeleee.

Hata hivyo katika jitihada za kumtafuta Juma Nature, Samson amesema aliwawahi kwenda kwa bibi yake Temeke (mama yake na Nature) lakini alifukuzwa kama paka mwizi na bibi yake aliyemwambia hataki kumuona tena.

Tuesday, September 11, 2012

Chris Brown , Did He Tattoo Rihanna On His Neck?

 0910_chris_brown_tattoo_getty
Chris Brown insists his brand new neck tattoo is NOT a bizarre homage to Rihanna -- but if you look closely, the resemblance is uncanny.
0910_tattoo_rihanna_sub_getty2

Monday, September 10, 2012

WOLPER AMSHTUA MAMA’KE




 
Mcheza filamu mkali wa hapa Bongo Jacqueline Wolper hivi karibuni alimshtua mama’ake mzazi, wakiwemo wadau wa filamu baada ya kuonekana amelazwa katika machela akiwa hoi taabani.
Tukio hilo ambalo lilikusanya watu wengi lilijiri Kibaha Mkoa wa Pwani ambako pia ndiko anakoishi mama mzazi wa staa huyo.
Watu waliomzunguka yeye akiwa kitandani walisababisha waliokuwa wakipita kufika eneo hilo kutaka kujua kulikoni, wengine walikwenda kumwambia mama yake kuwa binti yake ameugua ghafla na kumfanya mwanamke huyo kuchanganyikiwa.
Habari zikaendelea kudai kuwa, kufuatia hali hiyo, Mama Wolper alimpigia simu mwanae kumuulizia kuhusu alichosikia, lakini akamjibu haumwi yupo kazini.
Kwenye eneo la tukio, wakati watu wakiendelea kuulizana ndipo ilipogundulika kuwa staa huyo alikuwa akirekodi filamu.
Baadhi ya watu walionekana wakicheka baada ya kugundua kumbe kilichokuwa kikiendelea ni filamu na si tukio halisi.
“Yaani mimi niliogopa, nilijua labda amepata matatizo au anaumwa ameletwa kwa mganga wa kienyeji,“ alisikika mtu mmoja akiwaambia wenzake huku wakitawanyika eneo la tukio.
Wolper alipopigiwa simu juzi Alhamisi, alikiri kulala kwenye kitanda cha kamba akiwa anarekodi filamu na si kwamba alikuwa mgonjwa

Friday, August 31, 2012

Blue Ivy Carter Enjoys A Helicopter Ride With Jay-z




     Jigga what! Jigga who! Daddy’s Lil Girl is riding in style!
Jay-z shared a cute daddy-daughter moment with Blue Ivy earlier today after arriving in New York City. Jay, who’s preparing to headline the Made In America  Festival this      weekend in Philly, held Baby Blue close after stepping off of a helicopter.  The kid is already 8 months old and has probably never flown commercial. The life!

Catch a few flicks of Baby Blue and her adorable blue headphones below:

Wednesday, August 29, 2012

TID AFUNGUKA KUHUSU TUHUMA ZA YEYE KUTAKA KUMUUA ALI KIBA...!!!

 
 
Kwenye U heard ya XXL Clouds Fm August 28 2012 Gossip Cop Soudy Brown aliripoti kwamba kuna mwanamke aliekamatwa na Polisi na kuhojiwa kwa masaa nane wakati akiwa kwenye mipango ya kumuua msanii wa bongo fleva Ally kiba.

Baada ya kuhojiwa na polisi kwa masaa nane, mwanamke huyo alikiri kwamba alitumwa na T.I.D kwenda kumuua Ally Kiba.

Alipohojiwa na Soudy Brown, T.I.D alifunguka na kusema “kwa nini nimuue Ally Kiba bwana, si mtu wangu nampenda kabisa bwana, kweli sasa hivi niko polisi kwa ajili ya kuhojiwa, nilikua safari, nimerudi sasa sijui mwanamke gani anaweza kufanya hivyo, siwezi kufanya hivyo, kwa sababu gani?

Toka nimezaliwa sijawahi kugombana na Ally Kiba, ukibisha muulize mwenyewe kama ameshawahi kukorofishana na mimi, nia ya hao watu ni kuniangusha mimi nionekane ni mtu mbaya nisiuze mziki wangu nisipendwe.”

Soudy alipomtafuta meneja wa Ally Kiba alijibiwa “hakuna taarifa zozote ambazo ziko tayari kutolewa kwenye vyombo vya habari sasa hivi lakini ikiwa tayari utakua wa kwanza kujua”

Tuesday, August 21, 2012

Kim Kardashian’s Beauty Costs Her $100,000 a Year


The 31-year-old reality star Kim Kardashian has an army of Twitter followers of around 15 million, and they have an almost daily inflow of evidence of how gorgeous her body is, often clad very scantily – which she can certainly allow.
Kim Kardashian's Beauty Costs a Lot

Kim Kardashian’s looks have brought her fame and money, but just how much do they cost her? A lot, both in terms of money and time. Actually, the figure comes up to a whooping £66,000, or about $100,000 every year! Add to it heaps of free stuff that is sent to her for endorsing numerous beauty products – Illumifill make-up, OPI polish, QuickTrim diet supplement and the like.
The Heat magazine reveals that every month of Kim Kardashian’s life involves from 150 to 200 hours of working on her appearance with regular application of treatments like 24-carat gold facials, weekly eyelash appointments, and tequila body scrubs that total up to £5,500’s worth.
Besides, recently Kardashian owned up in a conversation with Oprah Winfrey that she had her body lasered in all the necessary places.
Of course that is not all it takes to be Kim by far – her curvaceous figure of 8.5 stone is the result of daily sweaty work in the gym. Even when she was on holiday in Hawaii with her boyfriend Kanye West she didn’t let fun make a pause in her workouts.
And now for a more detailed insight into Kim Kardashian’s looks.

Kim’s Face Beauty Secrets


Twice a month KK has facials at Bailey’s in Beverly Hills (worth £800) and once a month it’s a 24-carat gold UMO facial. Anti-ageing glycolic face peels are done every 4 days.
Permanent eyelash extensions is one of Kim’s signatures and she has them fixed and topped up every week.
Her peachy complexion is maintained through Fraxel cosmetic laser treatment, for which she stumps up £2000 every time.

How Does Kim Kardashian Maintains Her Body in Shape?


To keep her body trim Kim never misses her spa at the five star Four Seasons hotel where she goes twice a month. Usually she goes for tequila-based body scrubs with tangerine and sunflower oil (worth £110). Also included is a detoxifying mud wrap that gets rid of any possible skin blemishes.
A massage and nail care are done every day for about an hour. A Bevery Hills Nail Design session costs her £95.
Some parts of her body have been treated to laser cellulite removal.

Kardashian’s Hair Care Tips

Kim’s sew-in weft extensions are taken care of by celebrity stylist Philip Wolff (Shades, Beverly Hills, £500 charged for each styling session). Her work is augmented by additional at-home treatment for about an hour.

Kim’s Workout Preferences


Kim Kardashian’s trainer Gunnar Peterson speaks of her as a hard and diligent worker who can fix herworkout as early as 6 am if she has no other time and can go to the gym straight from the airport.

Kim’s Diet Secrets

Kim is an ardent believer in the “sex diet” that, according to her, helped her get rid of seven pounds in the same number of days. Her meals exclude gluten, sugar, and dairy. Her food is delivered to her in special freezer bags.

Monday, August 20, 2012

SHILOLE ANAPENDA ‘SERENGETI BOYS’



STAA wa filamu na muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ anadaiwa kuwa ni moto wa kuotea mbali kwa kupenda uhusiano wa kimalavidavi na vijana wadogo a.k.a Serengeti boys anaowazidi umri.Hot 2 Hot imenong’onezwa kuwa mwanadashosti huyo alikuwa akifanya siri lakini sasa imevuja kwamba amekuwa akibanjuka na damu changa mfano ukitolewa kwa wasanii wenye ‘eji’ ndogo ambao aliwahi kujilainisha kwao kwa kuwahonga visenti na kuwapa gari lake watembelee ‘tauni’.Baada ya kuzitia ‘nyiuzi’ hizo masikioni, Hot 2 Hot ilimnyatia bosi huyo wa Shilole Classic na kumsomea mambo yake yote, ndipo akatanua kinywa:
“Ninavyojua mapenzi hayachagui umri mkubwa wala mdogo, nawashangaa hao wanaosema hivyo, sasa wanataka niwe na wazee? Mimi ni kijana, lazima niwe na uhusiano na vijana wenzangu.”

WEMA, SNURA WANAFIKI !!


Wema (kulia) akiwa na Snura.
http://api.ning.com/files/-xhPZ98Kq7naU4FFcReIiALFoGdWOAilKJUB-w9AWqD8WimuhkfJ-5zodXhv2iPTBKUqpP3pBieSWphQctsTvYvNOdfpYg7x/UZINDUZIWAFILAMUYA8.JPG
Wema na Snura.
Na Gladness Mallya
USHOSTITO wa Wema Sepetu na Snura Mushi uliodumu kwa miezi kadhaa umeraruliwa ukidaiwa kuvunjika kwa kuwa ulikuwa wa kinafiki kutokana na kuvunja kiapo walichokula runingani kuwa hatawaachana, Ijumaa Wikienda limejazwa werawera na wabaya wao.
MTU WA KARIBU ATIRIRIKA 
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa mastaa hao, Wema na Snura walikuwa marafiki vinyonga kwani kila mtu alijua muda siyo mrefu watasalitiana na kuanza kuvujisha siri zao na hicho ndicho kilichotokea.
KISA NI NINI?
Kwa mujibu wa chanzo hicho, Wema alidai kuwa 
Snura amemsema vibaya kwa ndugu zake na kutangaza kwa wanahabari kuwa amerudiana na mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, jambo ambalo lilimchukiza.Chanzo kilitiririka kuwa baada ya urafiki huo kuvunjika, Wema alimnyang’anya Snura vitu vyote ambavyo alikuwa amemnunulia na kuanzia hapo mawasiliano baina yao yalikatika.“Snura ameamua kuvunja kile kiapo alichokula runingani kwa machozi, sasa sijui atapata wapi yale mawigi aliyokuwa akipewa na Wema?,” kilihoji chanzo na kuingia mitini.

SNURA ANASEMAJE?
Alifunguka: “Mimi sijui sababu ya urafiki wetu kuvunjika kwa sababu Wema hajaniambia, angekuwa ni mtu mwenye akili na busara angenieleza.”

NYUMBANI KWA WEMA
Ili kupata mzani wa habari hiyo, Ijumaa Wikienda lilimpigia simu Wema lakini haikupokelewa hivyo likatimba nyumbani kwake ambapo wakiongozwa na Vincent Kigosi ‘Ray’, wasanii hao walitumia nafasi yao kumkashifu mwandishi wetu kwa maneno mabaya yasiyoandikika gazetini, tunayafanyia kazi.

RAY C ATUA BONGO, ASAKA MUME!





Rehema Chalamila ‘Ray C’.
MSANII ‘first class’ wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amerejea Bongo na kutangaza kusaka mume huku akiweka wazi vigezo anavyotaka awe navyo, Jelard Lucas anashuka nayo.Akichonga na Over The Weekend juzikati, Ray C aliyekuwa amejichimbia nchini Kenya, alisema mwanaume atakayeweza kupata penzi lake anatakiwa kuwa na elimu ya kawaida, maendeleo, asiwe mwanamuziki wala pedeshee, awe na mvuto na mwenye kuyajua vizuri malavidavi.Mwanadada huyo ‘chakaramu’ aliongeza kuwa mwenye sifa hizo akipatikana, atamzalia watoto wawili na kujenga naye familia bora kwani amechoshwa na maisha ya usela.“Sina mume wala mpenzi, kwa sasa nipo single, ukiniulizia ishu za zamani ntakushangaa kweli, vigezo ndiyo hivyo, kama kuna mtu yupo tayari ajitokeze tufunge ndoa,” alisema Ray C.Kuhusu kurudi kwenye gemu, Ray C aliwaahidi mashabiki zake kuwa baada ya mfungo kumalizika, yupo kwenye harakati za kuzindua albamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Moyo Waniuma’ yenye nyimbo 10.
Aliongeza kuwa soko la muziki Bongo ni bovu sana ukilinganisha na Kenya hivyo bado mishemishe zake nyingi atakuwa akizifanyia nchini humo

Thursday, August 16, 2012

Rihanna Was Worried About Chris Brown After He Attacked Her

 



Rihanna has revealed that she was worried about ex-boyfriend Chris Brown after he attacked her back in 2009.
Chris hit Rihanna during a massive fight on the eve of the Grammy Awards, and the couple subsequently broke up. Chris was charged with assault, and ordered to stay away form Rihanna.
Rihanna opened up about the attack in a new interview with Oprah Winfrey, revealing that she was worried about Chris because it seemed like the whole world was against him.
The singer said, "I felt like, 'The only person they hate right now is him.' It was a weird, confusing space to be in, because, as angry as I was - as angry and hurt and betrayed, I just felt like he made that mistake because he needed help.
"And who's going to help him? Nobody's going to say he needs help, everybody's going to say he's a monster, without looking at the source. And I was more concerned about him."

MWANAMKE TAJIRI NA MREMBO KULIKO WOTE UGANDA!!

 

JARIDA maarufu la Times nchini Uganda limemtaja mama wa watoto wawili Zari Hassan kuwa ndiye mwanamke mrembo na tajiri kuliko wote nchini humo kwa wakati huu.
Kwa mujibu wa jarida hilo Zari (30) ambaye ni Mwanamuziki,Mfanyabiashara na Mtangazaji wa runinga amepata mafanikio makubwa kwenye muziki na pia kipindi chake cha runinga kinachofananishwa na kipindi cha ‘Keeping up with the Kardashians’ kinachoendeshwa na mrimbwende wa kimarekani Kim Kardashian.
Huku likiambatanisha picha za magari na nyumba anazomiliki mwanadada huyo, jarida hilo limeandika kuwa huenda akaingia kwenye orodha ya wanawake matajiri zaidi Afrika baada ya kipindi kifupi kijacho endapo ataendelea na mwenendo wake wa sasa kibiashara.
hata hivyo jarida hilo pia limetaja zari kuwa mmoja wa mstaa wapenda starehe na amekuwa akitumia mkwanja alionao kumnasa mwanaume wa aina yoyote anahisi kuwa anahitaji kumliza kwa wakati huo ingwa tuhuma hizo hazikusibitishwa moja kwa moja.
katika hatua nyingine jarida hilo limesema kuwa Zari mwenye maskani yake pia nchini Afrika ya Kusini, wazazi wake si raia wa uganda kuzaliwa ispokuwa ni wahamiji kwani baba yake ni raia wa Buurundi mwenye asili ya Somalia na mama yake ni raia wa India kutoka kabila la Mutoroo.

LULU NIMEMISI URAIANI

 



Na Imelda Mtema
MCHEZA sinema wa Bongo aliye nyuma ya nondo katika Gereza la Segerea, jijini Dar es Salaama kwa madai ya kuhusika na kifo cha Msanii Steven Kanumba, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema kuwa amepamisi sana uraiani.
Akizungumza na mwandishi wetu Agosti 13, mwaka huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambako kesi yake inaendelea kutajwa, Lulu alisema amemisi vitu vingi vya uraiani, ikiwemo mitaa ya Sinza na Kinondoni alikozoea kwenda kujiachia, pia anawakumbuka sana mashosti wake akina Diana Kimaro ‘Pacha wa Lulu’.
“Nimekumisi sasa… (anataja jina la mwandishi), pia nimewamisi watu wote huko uraiani, nimewamisi mashosti wangu jamani, nimemisi sehemu nilizokuwa napenda kutembelea,“ alisema Lulu.
Lulu akionesha uso wa uchangamfu alisema anafurahi sana anapoona watu wanaofika mahakamani hapo ni baadhi ya marafiki zake na ndugu.
“Ukikaa kule (gerezani) unawakumbuka watu wengi, sasa ukija hapa (mahakamani) unapowaona watu mbalimbali unaowafahamu kidogo unafarijika, unakuwa mwenye amani siku hiyo,” alisema Lulu.

" KAMA BUSHOKE ATANIZINGUA, BASI NITAITOA HII MIMBA"....JINI KABULA


SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwa amenasa mimba, mwigizaji anayewakilisha Kundi la Scorpion Girls, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, amemtaja mwanaume anayeitwa Bushoke kwamba ndiye baba wa mtoto wake.


Jini Kabula aliyaongea hayo mwanzoni mwa wiki hii, jijini Dar es Salaam baada ya kubanwa na waandishi wetu kufuatia madai kwamba, mwanaume aliyempachika mimba ni mfanyabiashara wa madini.


Hata hivyo, staa huyo alikwenda mbele zaidi kwa kusema ‘anampeleleza’ Bushoke kama kweli ana nia na mtoto atakayezaliwa au maneno maneno tu.

Alipobanwa kuhusiana na taarifa zilizowafikia wandishi wetu kuwa ana mpango wa kuitoa mimba hiyo, Jini Kabula alifunguka:


“Hii mimba ni ya miezi minne sasa, kama Bushoke hatakuwa na usumbufu wowote basi nitamzalia mtoto mzuri ambaye naye atatamba naye mitaani, lakini akinizingua wakati wowote, sikawii kubadili mawazo na kuichoropoa.”


Jini Kabula alishawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na bosi wa Kampuni ya Chuz Entertainment, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ na kuzaa naye mtoto mmoja.


Aidha, ameshawahi kuwa na uhusiano kama huo na staa wa Bongo Fleva, Nice Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ lakini hawakubahatika kupata mtoto hadi walipomwagana
.