Wednesday, March 21, 2012
KUTOKA FACEBOOK
Jestina George
added a new photo.
Like
Unlike
·
·
Share
·
12 hours ago
·
6 people
like this.
Shuna Minasher Rooney
Cnt think jinsi anavyo ishi huko..mungu atamsaidia inshallah na hili litapita.. :(
12 hours ago
·
Like
Unlike
·
2
Jestina George
Habari zisizo rasmi zinasema amehukumiwa miaka saba. Yaani I feel for her to be honest
12 hours ago
·
Like
Unlike
·
2
Shuna Minasher Rooney
Mmh,,thats a bad bad newz..so it meanz mika mitatu na mienzi 6..mmh..mungu wangu..isiwe ukweli! Its sad
12 hours ago
·
Like
Unlike
Greyson Chris Bee Salufu
Mmh inauma sana jamani duu any way
12 hours ago
·
Like
Unlike
Rachel A. Temu
what is hoing on ?
12 hours ago
·
Like
Unlike
Rachel A. Temu
jestina kuna nini nimpitwa mie
12 hours ago
·
Like
Unlike
Tina Ndonde
uuwwiii wamemfungia nini mdada wa watu? ndio hio kughushi sign sijui nini? mbona wao wanaiba kila siku mabilioni na mabilioni hawajifungi mweeh?? hebu wamwachie huko... hio miaka saba kaua?
12 hours ago
·
Like
Unlike
·
1
Hawa Gwao
this is sad news but we should pray for her to come out
12 hours ago
·
Like
Unlike
Jestina George
Rachel A. Temu
I just read somewhere kwamba amehukumiwa miaka 7 yaani I don't know jamani ukweli ni nini let's wait and hear from more reliable sources. I just hope it's not true.
12 hours ago
·
Like
Unlike
Rachel A. Temu
mhhhh danger
12 hours ago
·
Like
Unlike
Said Mohamed
Bora isiwe hivo jamani miaka 7 kukaa jela ni mingi mno,mungu atamsaidia. Mh! lakini serikali hii mbona wao manaiba mabilioni hawafungwi?
11 hours ago
·
Like
Unlike
Starlisha Tillya
SO SAD MUNGU AWE NAE KAJALA.
11 hours ago
·
Like
Unlike
Laura Joe
Jamani I like this lady...I felt like crying. Mafisadi wametulia, wanyonge wanahukumiwa hivi. Yanzania is soooo unfair. Mungu atafanya njia...u r in prayers Kajala.
9 hours ago
·
Like
Unlike
Liz Sollo
OMG Kajala so sad We pray for u.xxxxx
7 hours ago
·
Like
Unlike
Ahmedi Khalidi
God bles her.she wil b wit us soon.
6 hours ago
·
Like
Unlike
Liz Mundi
pole kajala kwa uweza wa mungu kifungo hakitakuwepo.
6 hours ago
·
Like
Unlike
Maidana Demarny
Swali ninalojiuliza aibe Mtu mwengine balaa limkute Kajala jamani huu ni uonevu,vigogo wangapi Mali wanawaandika watoto wao na wake zao mbona hawafungwi?liumba mamilioni ya pesa walimfunga mwaka sasa iweje huyu ambae hata kuhusika hausiki iwe miaka Saba? Let's pray for her jmn?
3 hours ago
·
Like
Unlike
Princess Dina
jamani sad
2 hours ago
·
Like
Unlike
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment