Tuesday, April 24, 2012

LULU AKIPELEKWA KIZIMBANI

Msanii wa muvi za bongo , (katikati ya maaskari mwenye dira la pink) anayesemekana anahusika ama kujua sababu ya kifo cha msanii mwenzake Steven Kanumba aliefariki April 7 mwaka huu katika mazingira ya kutatanisha, amefikishwa mahakamani leo hii 23 April saa nne asubuhi jijini Dar es Saalam. Alisomewa mashitaka hayo ila hakutakiwa kujibu lolote na baada ya hapo alirudishwa Lupango mpaka May 7, kesi yake itakaposomwa tena.

No comments:

Post a Comment