Friday, May 4, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE ATANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI MEI 2012

Ifuatayo ni orodha ya Mawaziri walioteuliwa;
Samweli Sitta anaendelea 
Nahodha anaenda Ulinzi 
Magufuli anaendelea Ujenzi
 Mwinyi anaenda Afya na ustawi wa jamii 
Shukuru Kawambwa: Elimu na mafunzo ya ufundi 
Sophia Simba anaendelea Jinsia na watoto
Matia Chikawe anarudi Katiba na sheria 
Nchimbi anakuwa Mambo ya ndani 
Mathayo anaendelea 
Mbawala anaendeea 
Ana Tibaijuka anaendelea 
Chiza: Kilimo, chakula na ushirika 
Maghembe anakuwa waziri wa Maji 
Mwakyembe anakuwa Uchukuzi 
Mkandara anakuwa Waziri wa Habari 
Kagasheki : Maliasili na utalii 
Kigoda :Viwanda 
Mgimwa anakuwa waziri wa fedha 
Sospeter Muhongo anakuwa Nishati na madini
Mac Mwandosya Waziri asiye na wizara maalumu

No comments:

Post a Comment