Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akikabidhi zawadi Zena Mode, baada kuibuka mshindi, shindano la Miss Singida, lililofanyika usiku wa kuamkia leo, Juni 2, 2012 katika ukumbi wa Aqua mjini Singida. Mshindi wa kwanza amepata sh. 400,000, wapili sh. 300,000 na wa tatu sh. 200,000.  Akifungua shindano hilo, Nape ameahidi kwamba CCM itatoa ajira kwa miss Singida kama atafanikiwa kuingia katika tatu bora katika shindano la Miss Tanzania.na kwamba CCM inayatambua mshindano ya urembo hapa nchini.
 

Nape akiwa na Miss Sgd, Zena Mode. wengine ni mshindi wa pili Rehema Marwa na  mshindi wa tatu, Eliza Diamond
 

Nape akiwa na warembo kumi wote walioshiriki shindano hilo
 

Miss Singida, Zena Mondi akiwa na mshindi wa pili Rehema Marwa (kushoto) na wa tatu Eliza Diamond. 
 
Warembo walioingia tano bora
  
Msanii Khadija Kopa akitumbuiza mashabiki wakati wa shindano hilo mjini Singida
  
Nape akimtuza Khadija Kopa wakati wa shindano hilo
Posted in : Mo blog