Wednesday, August 8, 2012

HATIMAYE OKWI AREJEA SIMBA SC


HATIMAYE mshambuliji wa kimataifa wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi amewasili mchana wa leo.
Okwi ni mmoja ya wachezaji watakaokuwemo kesho katika kikosi cha Simba kitakachomenyana na City Stars ya Kenya katika mechi maalum ya maadhimisho ya Simba Day.

No comments:

Post a Comment