Tuesday, September 18, 2012

WAREMBO WATAKAOCHUANA KATIKA FAINALI YA MISS TEMEKE 2012 SEPTEMBA 21, PTA, SABASABA HALL

 

Jina;  Miriam Ntakisivya

Umri;  Miaka 20

Elimu; Kidato…

 
Jina; Elizaberth Boniface
Umri; Miaka 19
Elimu; Uandishi wa Habari ngazi ya Cheti nikizungumza vyema Kiingereza, Kiswahili na Kiganda.
 
Jina;  Miriam Ntakisivya
Umri;  Miaka 20
Elimu; Kidato cha Nne
Anachopendelea;  Kuimba na Kucheza
Matarajio;  kujiendeleza kielimu nakuwashawishi vijana na kina mama wasiwe tegemezi,nitaungana nao kwa kuanzisha miradi mbalimbali nikiwa kama kiongozi wao.Asante.

 

Jina; Neema Doreen Sylvery
Umri; Miaka 20
Elimu; Kidato cha Nne(Laureate International School) Natarajia kujiunga na Chuo cha Xidian University nchini, China kusomea kuchukua shahada ya Uchumi na Biashara za Kimataifa
Anachopendelea;  Kucheza soka la Soka, Mpira wa Kikapu,kuogelea, mpira wa wavu wa ufukweni, kusikiliza muziki, kubadilishana mawazo na watu mbalimbali,pia kujifunza kila siku jambo jipya.
Matarajio; Kujihusisha na masuala ya kimataifa kama mwanadiplomasia.

 
Jina; Angela Gasper
Umri; Miaka 19
Elimu; Kidato cha Nne
Kitongoji; Kurasini
Anachopendelea; Kuelimisha jamii
Matarajio; kuwa mhamasishaji na mjasiliamali kwa wanawake wa kimataifa! Asante.
 
JINAE: Elizabeth Peter
KITONGOJI;   Kurasini
UMRI:  Miaka 21
ELIMU;  MWANAFUNZI CHUO Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, akichukua  shahada ya Sheria.
MATARAJIO;  Kuwa mwanasheria atakayesimamia pia haki za urembo nchini Tanzania, anaamini ana uwezo wa kujitawala katika kujijengea mipango ya maisha yake ya sasa na ya baadaye akiamini nia yake itavuka daraja la kwenda kwenye mafanikio ya mwanamke mwenye kujitambua.
 
Jina: Catherine Masumbigana
Umri: Miaka 21
Kitongoji: Chang'ombe
Elimu: Chuo
Napendelea: Kusoma majarida mbalimbali, Kuogelea na Kutembelea wasiojiweza na kushiriki nao chochote. (Yatima & Wajane)
Matarajio: Kuwa mwanaharakati wa watetea haki za watoto na wanawake duniani.
Kwa sasa ni Mfanykazi katika kampuni ya  Minesite Tanzania Ltd iliyopo Masaki, DSM.
 
Jina: Jesca Haule
Umri: Miaka 18
Elimu: Mwanafunzi Chuo cha Ustawi wa Jamii
Kitongoji: Changombe
Matarajio: Mwanasiasa
Anachopendelea: Kuogelea na kusoma vitabu.
 
Jina; Esther Albert
Umri; Miaka 19
Elimu; Kidato cha Nne
Kitongoji; Kigamboni
Anachopendelea; Kusafiri nchi Mbalimbali
Matarajio; Kuwa balozi wa Mazingira.

JINA;   Flaviana Maeda
UMRI;  Miaka 22
ELIMU;  Mwanafunzi , Dar es Saalam institute of technology akichukua diploma ya mfumo na teknolojia ya masuala ya Kompyuta(IT).
KITONGOJI;  Kurasini
ANACHOPENDELEA;  Kucheza na kuimba muziki, michezo ya viwanja vya ndani na vya wazi, kutazama filamu, kufanya mazoezi, kupiga gita na nyakati nyingine kuchat kwenye mtandao.
MATARAJIO; Baada ya kumaliza Chuo nitajikita nguvu zangu katika kufanya biashara, nikidhamiria kupata mafanikio makubwa katika hilo, pia kujihusisha kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia, ili kufikisha ndoto za watoto katika mafanikio na si kukatishwa tama ya maisha na maisha ya baadaye.
 

JINA;  Agness Goodluck
UMRI; Miaka 20
ELIMU; Mwanafunzi Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM) akichukua Shahada ya Uhasibu
KITONGOJI; Kigamboni
ANACHOPENDELEA; Kuogelea na kukaa zaidi ufukweni
MATARAJIO; Kuwa mwanamindo bora ndani na nje ya nchi.
    
Jina;  Zulfa Bundala
   Umri;  Miaka 21
   Elimu;  Kidato cha Nne,
   Kitongoji;  Chang'ombe
  Anachopendelea;  Kucheza mpira wa kikapu pamoja
  na kubadilishana mawazo na wenzangu.ni mshiriki kutoka,
 Matarajio;  Kuwa mtetezi wa haki za watoto na kina mama.
 

JINA; Eda Sylvester
UMRI;   Miaka 21
KITONGOJI; KIGAMBONI
ELIMU: Mwanafunzi chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua Shahada ya Sanaa
ANACHOPENDELEA:  Kusafiri,  kuangalia filamu na kujifunza yaliyomo ndani Teknohama
MATARAJIO;  Kuwa msanii wa Kimataifa na mafanyabiashara mwenye  mafanikio ya juu.

No comments:

Post a Comment