Tuesday, October 2, 2012

HII NDIO ZAWADI YA NICKI MINAJI KWA LIL WAYNE

Unapotaka kununua zawadi ya mtu mkubwa na mwenye mafanikio kama Rapper Lil wayne inasemekana lazima ufanye utafiti wakutosha kuhusu vitu anavyo penda na hajapata mtu wa kumpa . Nicki Minaj alijipanga na kununua Gari aina ya T- REX CYCLE yenye thamani ya Dollar za Kimarekani $70,000. Hii ni gari yenye matairi matatu ,ni nyepesi sana na ina spidi ya 150mph. Bei kamili ya gari hili ni Dollar $50,000 ,ila baada ya kununua Nicki Minaj aliitengeneza iwe na muonekano wa Lil Wayne pamoja na kuandika ujumbe nyuma ya gari hio unaosema “Nicki Loves Tunechi.” Gari hii aliipata Rapper Lil wayne kwenye siku yake ya kuzaliwa alhamisi iliyopita.

No comments:

Post a Comment