Saturday, March 10, 2012

A BABY WITH A BABY


.


Huyo ndio mtoto Gladys Chelagat mwenye umri wa miaka kumi aliyejifungua kitoto kichanga huko Nigeria, ni mwanafunzi wa primary na mtoto wake ana uzito wa kilo 2.8 na amejifungua kwa operesheni ambapo kwa mujibu wa n.prince ni kwamba alirubuniwa na kupewa huo ujauzito.

No comments:

Post a Comment