Wednesday, March 28, 2012

CBE YAPIGA MARUFUKU UVAAJI USIO WA MAADILI

Katika kile kinachoonyesha ni kukerwa na kukithiri kwa tabia za uvaaji wa mavazi ya ovyo ovyo miongoni mwa wanafunzi wake, uongozi wa chuo cha biashara nchini CBE, umetoa tangazo rasmi lenye kupiga marufuku baadhi ya mavazi kwa wanafunzi wa chuo hicho katika kampasi zake zote nchini.
Hatua hii ya uongozi wa CBE, imekuja katika wakati ambapo malalamiko juu ya uvaaji wa wanafunzi katika vyuo mbalimbali, yakiwa yanaelekea kupuuzwa huku uvaaji wa ovyo ovyo miongoni mwa vijana wa jinsia zote ukiwa unaelekea kuwa utamaduni uliozoeleka.
Tizama picha hapa chini, kuhusu tangazo la CBE na aina ya mavazi yaliyopigwa marufuku chuoni hapo

sehemu ya kwanza ya aina ya mavazi yaliyopigwa marufuku


Sehemu ya pili ya mavazi hayo

sehemu ya tatu

tangazo lote kama lilivyonaswa

Picha kwa hisani ya SK Blogs

3 comments:

 1. Very soon this site will be famous amid all blog users,
  due to it's good posts I once had a problem also some time ago and i am gratefullglad i got myself a solution...
  Also see my website: female libido cure

  ReplyDelete
 2. Incгedible! This blog lоoks exaсtly lіκe my olԁ
  one! It's on a entirely different subject but it has pretty much the same page layout and design. Outstanding choice of colors!
  Stop by my web blog : castleville guide

  ReplyDelete
 3. If you want to take a good deal from this article then you have
  to apply such techniques to your won weblog.
  Also visit my web page emails list

  ReplyDelete