Thursday, May 17, 2012

SAJUKI ALIVYO AAGWA KWA VILIO!!!

Juma Kilowoko ‘Sajuki’ akiagwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea nchini India.
Dada zake Sajuki wakilia wakati wa kumuaga kaka yao.
Msanii Wastara ambaye ni mke wa Sajuki nae akitokwa na machozi.
Mama Sajuki akiwa na majonzi wakati wa kumuaga mwanae.
Mtoto wa Sajuki akiwa amebebwa.
Dada yake Sajuki akifutwa machozi.
Baadhi ya wasanii waliofika uwanjani hapo kumuaga mwenzao wakijadili jambo.
Wastara akiwaaga watu walifika uwanjani kuwasindikiza kwa kilio.
...Akiingia chumba maalum tayari kwa safari kuelekea nchini India.
Mama mzazi wa Sajuki, Bi. Zaituni akiwashukuru Watanzania kwa michango yao iliyofanikisha safari ya mwanae kwenda nchini India.
kwa habari zaidi tembelea

No comments:

Post a Comment