Sunday, July 15, 2012

CHECK OUT ; Bubu ashiriki vyema EBSS 2012 Mwanza !!!

Kwa mara ya kwanza jiji la Mwanza limetia fora na limeweka historia ya kupata mshiriki mmoja aliyeingia kwenye shindano la Epiq Bongo Star Search akiwa na ulemavu wa sauti (bubu-yaani asiyeweza kuongea kawaida) hali iliyopelekea majaji wa mchuano huo kuvutiwa na mikogo yake iliyopelekea ushawishi uliowafanya waingie kingi kiasi cha kumpa nafasi ya kuingia hatua ya pili ya mchakato huo.. Hebu mshuhudie kupitia kideo na makamuzi ya hip hop pindi tu alipotoka kwenye usaili na kutajwa kwamba amesonga mbele.
Posted in g sengo

No comments:

Post a Comment