Sunday, July 8, 2012

WEMA SEPETU VS JACK WOLPER AKUNA MBABE!!


Mabondia ambao ni wacheza filamu maarufu nchini Wema Sepetu kushoto na Jackline Wolper wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wo Tamasha la Matumaini lililofanyika jumamosi katika uwanja wa Taifa.
Bondia Wema Sepetu akimkimbia mpinzani wake Jackline Wolper wakati wa mpambano wao 
Refa John Chagu akiwainua mikono juu mabondia Jackline Wolper kushoto na Wema Sepetu kuashiria mpambano wao ni droo.
WEMA NA WOLPER
Mdau wa mchezo wa Masumbwi Nchini Ibrahimu Kamwe akimwelekeza bondia Wema Sepetu  
Baada ya mpambano wawili hao waliondoka eneo la tukio wakiwa wameshikana mikono wakiashilia amani.

No comments:

Post a Comment