Tuesday, October 30, 2012

SEND OFF YA AUNT EZEKIELCloud akiwa na Bibi Harusi Aunt wakipata picha ya kumbukumbu..

 Ndani ya SERENA akisubiriwa Bi Harusi awasili ndani ya ukumbi.

 Bi Harusi(Aunt) akiwa ndio anawasili ndani ya ukumbi huo kwa mbwembwe kubwa sana.

 Bi Harusi akiwa tayari akiwa amefika sehemu yake maalum iliyoandaliwa kwa ajili yake huku akiwa kazungukwa na wapambe wake

 Flowersssssss

 Wema na Jack Wolper

 Davina (wa kwanza kushoto) Cath Rupia (wa katikati) na Mama Eriethy

 Maya na Chuchu Hans.....

 Odama

 Mr na Mrs Cloud...............

 Ulifika muda wa kwenda kukabidhi keki kwa wazazi.....

 Akikabidhi keki kwa wazazi wake kwa adabu kubwa sana....

 Akiwa ameongozana na shemeji yake kwenda kupata chakula.

 Aunt akiwa kwenye vazi jengine kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa. 

 Maandalizi yakifanyika..

 Ratiba ya kukakata ndafu ikiendelea!

 Mmependeza.....

 Wema akiwakilisha wananawake wa Bongo Movie kwa kula ndafu....

 Cloud pia akiwaakilisha wanaume wa Bongo Movie.....

 Ulifika mda wa burudani ...

 Wachaa we.......

 Batuli akitoa show....


 Mambo yakipamba moto..

 Recho Saguda wacha weee..
 Burudani ikiendelea..

 Maya hayuko nyuma naye...

 Mainda..

 JB

Steve Nyerere..

The Greatest

No comments:

Post a Comment