Tuesday, May 1, 2012

HII KALI KULIKO :MSANII RICH ONE AFIKISHWA POLISI KWA KUJIFANYA ALLY KIBA!!!

Rich One mwenye t shirt nyekundu msanii wa TMK WANAUME HALISI akiwa kafikishwa polisi tayari.
 
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya,Rich One amefikishwa kwenye kituo cha polisi Msimbazi Dar es salaam muda mfupi uliopita kwa tuhuma za kutapeli, kula hela za watu akijifanya yeye ni mwimbaji Ally Kiba ambapo inaaminika yeye (Richone) alifanya utundu ambao Kiba akipigiwa simu haziendi kwake, zinakwenda kwenye simu ya Rich ndio anazipokea na kula hizo pesa za show.Zaidi sikiliza baadaye kipindi cha Amlifaya ya Clouds FM
Source: Millardayo.com

No comments:

Post a Comment