Friday, May 25, 2012

THE MBONI SHOW ILIVYOZINDULIWA KWA KISHINDO, SERENA HOTEL JIJINI DAR
Mariam wa Miss Popular Blog akijaribu kukamata tukio. 


Msanii Banana Zoro akisherehesha pamoja na B-Band.
Mshereheshaji wa uzinduzi huo wa 'The Mboni Show'
Mboni akiwa na marafiki zake.
 Mboni akiwa katika kipindi.
 Wazazi na marafiki wa Mboni wakifuatilia uzinduzi huo.
 Mwanadada Mboni Masimba akiongea na kuwashukuru wazazi, ndugu jamaa na marafiki zake kwa kufika na kuungana nae.
 Keki.
 Warembo nao walikuwa wa kumwaga.
 Keki ikikatwa.
 Furaha mara baada ya kukata keki kuashiria kuwa uzinduzi umekamillika.
 Mwanamuziki Diamond akiwasha moto.
Diamond akilikoleza sebene... la nyimbo zake.

posted in : kajunason blog

No comments:

Post a Comment