Wednesday, October 10, 2012

HUU NDO WAKATI WA WANAWAKE KUVUNJIKA MIGUU Miaka ya sasa tumeshuhudia ubunifu wa hali ya juu katika soko la mitindo na ubunifu,.Nchi za mbele  wamekuwa wakiumiza vichwa kutengeneza viatu vya ajabu kutokea duniani.

Kiatu ambacho kinakimbiza hivi sasa ni kile chenye visigino viwili kiitwacho  "Scary Beautiful" (pichani juu) kinatajwa kuwa ni kiatu cha ajabu kuliko vyote vilivyopata kutokea kwenye soko la ubunifu"Scary Beautiful" kiatu kilicholeta mapinduzi ndani ya soko la mitindo, Kazi kwenu akina dada

No comments:

Post a Comment