Wednesday, October 10, 2012

JUMUIYA WA WATANZANIA UBELIGIJI YAMKARIBISHA BALOZI WAO MPYA MHE. DR KAMALA NA FAMILIA YAKE...!!!

Mr David Mwasha (aliyesimama) mwenyekiti wa Jumuyia ya watanzania Ubeligiji  akiongea machache kwenye sherehe za kumkaribisha Mh Balozi Dr. Diodorus Kamala na famila yake.
  Pichani ni Mh. Balozi Dr Diodorus Kamala na Mama Balozi Adelaida Kamala katika sherehe za kuwakaribisha zilizo andaliwa na Jumuiya ya Watanzania nchini Ubeligiji mara baada ya kutambulishwa
Watoto wa Mh. Balozi Dr. Kamala wakitambulishwa
Baadhi ya watanzania walio hudhuria sherehe hiyo
Kutoka kushoto ni Bi Doreen Shagalai (katibu wa kikundi cha kina mama cha Upendo), Mama Balozi Adelaida Kamala, Mh Balozi Dr. Kamala na Mwenyekiti wa jumuyia ya watanzania Ubeligiji Bwana David Mwasha
Mh. Balozi Dr Diodurus Kamala akiongea machache mara baada ya kukaribishwa ba kutambulishwa
Bi Doreen Shagalai, katibu wa kikundi cha kina mama cha Upendo akiongea machache kwa niaba ya wakina mama na kumkaribisha Mama Balozi Adelaida Kamala na kumuomba awe mlezi wa kikundi hicho cha Upendo ambapo alikubaliana na ombi lao.
Mama Balozi akikaribishwa kwa kukabidiwa maua kama ishara ya upendo
Mama Balozi Adelaida Kamala akiwashukuru watanzania kwa ukarimu wao
Mama Balozi Adelaida Kamala katika picha ya pamoja na mdau 
Mama Balozi Adelaida Kamala akiwa katika picha ya pamoja na mmoja wapo wa wakina mama wa kikundi cha Upendo
Watoto wa Mh. Balozi Kamala wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wenzao
Baadhi ya wakina mama walio hudhuria sherehe hiyo
Baadhi ya wakina mama wa kikundi cha upendo wakiwa katika picha ya pamoja na mama Balozi
Mh. Balozi Dr Kamala na famila yake wakiwa katika picha ya pamoja na watanzania waishio nchini Ubeigiji pamoja na familia zao.
---
 Jumuiaya ya watanzania waishio Belgium wakishirikiana na kikundi cha kina mama wa kitanzania cha Upendo waliandaa sherehe fupi ya kumkaribisha Balozi mpya hapa Ubeligiji Mh. Dr. Diodorus Kamala pamoja na familia yake.  Shughuli hii ilifanyika Jumamosi tarehe 6/10/2012. 

 Wakati wa sherehe hii kikundi cha Upendo kili muomba Mke wa Balozi, Bi. Adeleida Kamala kuwa mama mlezi wa kikundi hicho na alikubali ombi hilo. 

Kwa kawaida ya jumuiya hii ya watanzania waishio hapa Ubeligiji, Balozi ndiye Mlezi wa Jumuiaya.

Image credit: Lilian Nabora

No comments:

Post a Comment