Sunday, November 4, 2012

BRIGITTE ALFRED NDIYE MISS TANZANIA 2012.....


BRIGITTE ALFRED Miss Tanzania 2012
 Brigitte Alfred akipunga mkono kwa furaha mara baada ya kutangazwa kuwa ndie mshindi na kuwabwaga washiriki wenzake 29.
Brigitte Alfred (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Miss Tanzania 2011, Salha IzraelKidoti....

Top 5

Wasafi kwa Stage....

No comments:

Post a Comment