Tuesday, November 6, 2012

CRAZY GK NA DJ FETTY WAFANIKIWA KUMALIZA CHUO NA KUTUNUKIWA DEGREE YA KWANZADj FettyCrazy Gk Akiwa na Ay na Mwana FADj fetty na Mwana Fa pamoja na AY
Mwanamuziki Crazy Gk na Dj Fetty Kutoka Clouds Fm wamefanikiwa Kumaliza chuo na Kupata Degree ya kwanza Pale Chuo cha Tumaini ..Hongera sana kwao.. Natumaini watakuwa ni mfano kwa Wasanii Wengine kuweza kupata Elimu.

No comments:

Post a Comment