Friday, November 2, 2012

GARI YA JACK WOLPER YACHOMWA MOTO NA WATU WASIOJULIKANA





 
HII KAULI ALIYO ITOA MWENYEWE KUTOKANA NA TUKIO HILO
“kiukweli mimi kama Jacquline Wolper sina ubaya na mtu yeyote, ila nmeshangaa kuona watu nisiyo wajua kuja usiku wa manane na kunichomea gari yangu.

 Kiukweli siwezi kumuhisi mtu ila najua ni lazima atakua mtu asiependa maendeleo yangu ni ni mtu mbaya sana kwangu.

Na inawezekana kabisa alipanga kuniua lakni kwa bahati nzuri siku hiyo sikua nyumbani nilikua nimesafiri.

Tukio lilitokea usiku wa tarehe 23/10/2012 ambapo mtu alitumia matambara yaliyo na mafuta ya taa au Petrol akiwa kwa nje ya ukuta wa nyumba yangu akiwa anarusha kwa ndani.

Nimepeleka taarifa kituo cha Polisi kawe kwa kutaka msaada wa kiupelezi na nitakua nawapa taarifa za kila kinachoendelea."....Wolper

No comments:

Post a Comment