Friday, November 2, 2012

WASHIRIKI 30 WA REDDS MISS TANZANIA 2012
VIRGINIA MOKIRI  ni mshiriki namba 1.
Akitokea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na akiwakilisha Elimu ya Juu.

EUGENE FABIAN Mbio za kulisaka taji la Miss Tanzania amezianzia Mkoani Mara
na baade kutwaa taji la Kanda ya Ziwa na anavalia namba 21 kambi ya taifa.

ANANDE RAPHAEL ni mshiriki namba 11 akitokea Mkoa wa Kilimanjaro
akiwakilisha Kanda ya Kaskazini.

BABYLOVE KALALA ni Mshiriki na 9 akitokea mkoa wa Kagera,
akiwakilisha Kanda ya Ziwa.

BELINDA MBOGO  ni mshiriki na 29 akitoka mkoa wa Dodoma akiwaklilisha Kanda ya Kati

BRIGITTE ALFRED ni Mshiriki namba 26 akitokea Kitongoji cha Sinza na anawakilisha
Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

CAREN  ELIAS mshiriki 23 anatokea Mbeya anawakilisha Nyanda za Juu Kusini.

CATHERINE MASUMBIGANA ni mshiriki na 15 akitokea Kitongoji cha Chang'ombe anawakilisha kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam.

DIANA HUSSEIN amepata namba ya ushirtiki 20, akitokea kitongoji cha Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

EDDA SYLVESTER amepata namba 22, akitoka Kigamboni na anaiwakilisha
Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam.

ELIZABETH DIAMOND anavalia namba 2 akitokea mkoa wa singida,
akiwakilisha kanda ya Kati.

FATMA RAMADHANI nambari yake 25 akitoka chuo cha Uandishi wa habari Arusha ASJ, anawakilisha Kanda ya Elimu ya Juu.

FINA REVOCATUS namba 12 akitoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM,
akiwakilisha Kanda ya Vyuo Vya Elimu ya Juu.

FLAVIAN MAEDA anavalia namba 10 akitokea kitongoji cha Kurasini
mwakilishi wa kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam.

HAPPINESS RWEYEMAMU namba 8 anawakilisha Kanda ya Ziwa Kahama- Shinyanga.

HAPPYNESS DANIEL namba yake ya ushiriki ni 19 anatokea jiji la Mwanza akiwakilisha Kanda ya Ziwa.

IRINE VEDA anatokea Lindi na kupata namba 16 akiuwakilisha Kanda ya Mashariki.

Anatoka Mji kasoro Bahari-Morogoro,JOYCE BALUHI mshiriki namba 13
anawakilisha Kanda ya Mashariki.

KUDRA LUPATOni mshiriki 24 akitokea kitongoji cha Dar Indian Ocean, akiiwakilisha Kanda ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

LIGHTNESS MICHAEL namba 5, akitokea Dodoma akiwakilisha Kanda ya Kati.

Kutoka mkoa wa Manyara ni LUCY STEPHANO mshiriki namba 4 akiwakilisha Kanda ya Kaskazini.

MAGDALENA ROY mshiriki namba 6, kutoka Kitongoji cha Dar City Centre akiwakilisha Kanda ya Ilala.

Mary Chizi akitokea kitongoji cha Ukonga,namba 17,
akiwakilisha Kanda ya Ilala jijini Dar es Salaam.

MAGDALENA ROY mshiriki nambari 18, kutoka mkoa wa Iringa akiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

NOELA MICHAEL namba 27, anashikilia taji la kitongoji cha Tabata pia ni mwakilishi tegemeo wa Kanda ya Ilala.

Rose Lucas namba 28 akitokea Mkoa wa Pwani akiwakilisha Kanda ya Mashariki.

VENCY EDWARD mshiriki nambari 7, akitoka Mkoa wa Rukwa akiwakilisha Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

WARID FRANK huyu ni mshiriki namba 30 akitokea Arusha
anaiwakilisha  Kanda ya Kaskazini.

JESCA HAULE ni mshiriki namba 14, akitoka kitongoji cha Chang'ombe
anawakilisha Kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam.

ZUWENA NASIB akiwa ni mwakilishi pekee wa chuo Kikuu Huria OUT.

No comments:

Post a Comment