Thursday, April 12, 2012

SURA YA MTUHUMIWA WA MAUAJI YA SUPER STAR STEVEN KANUMBA INASIKITISHA

 
Hivi ndivyo alivyoonekana msichana Elizabeth Michael ``LULU`` pale alivyokuwa akipandishwa mahakamani jijini Dar es Salaam hapo jana.Kiukweli mpaka anarejeshwa gerezani Segerea hakutakiwa kujibu neno lolote kuhusiana na tuhuma ya mauaji inayomkabili binti huyo.kesi yake itasikilizwa tena tarehe 23 April 2012.Lulu alionekana mtu mwenye kukata tamaa ya maisha.
 
souurce: maganga one 

No comments:

Post a Comment