Tuesday, July 24, 2012

BREAKING NEWS: Rais wa Ghana Afariki Dunia!

Rais wa Ghana, The Honorable John Atta Mills, amefariki ghafla nchini Ghana leo.  Habari kutoka Ghana zinasema kuwa aliugua muda mfupi kabla ya kufariki.  Hivi karibuni alienda Marekani kupimwa afya yake (Routine Medical Check-Up).

Rest in Eternal Peace.

Chanzo na YAHOO NEWS

No comments:

Post a Comment