Friday, October 5, 2012

JUKWAA LA SERENGETI FIESTA 2012 LITAKUWA KAMA HIVIHuu ni mfano wa Jukwaa la Serengeti fiesta 2012 ambalo pia mkali kutoka Frolida Marekani Rick Rozay atakanyanga kwa ajili ya kuwapa shangwe mwapenda burudani wote katika nchi hii ya Jk ambao watajitokeza katika viwanja vya Leaders Kindondoni jijini Dar akiwa sambamba na wakali kibao kutoka bongo Fleva.


Bhaaaaaass

No comments:

Post a Comment